Header Ads

Marekani yakana kuilipa kikombozi Iran

KALI ZOTE BLOG

Waziri wa maswala ya Kigeni nchini Marekani John Kerry na mwenzake wa Iran Javad Zarrifi za kigeni wa Marekani John Kerry, amekanusha vikali madai kwamba Marekani ililipa kikombozi cha dola milioni moja kuwakomboa wafungwa wa taifa hilo waliozuiliwa nchini Iran
Amesema malipo hayo yalikuwa ya kutatua mgogoro kuhusu mpango wa ununuzi wa bidhaa za kijeshi.
Wanasiasa wa chama cha Republican wameshambulia serikali kutokana na malipo hayo.
Malipo hayo yalitolewa wakati wa kutia saini mkataba wa kinyuklia, na ubadilishanaji wa wafungwa ambapo wafungwa wanne wa Marekani waliachiliwa

No comments