Simao ameachia video mpya wimbo unaitwa ” Made It”
Msanii kutokea Dodoma Simao ameachia video mpya wimbo unaitwa ” Made It”, akiwa amemshirikisha Moni Centrozone. Video pia imefanyika Dodoma kwa uongozaji wa Director Nicklass.
KALI ZOTE BLOG
Habari na Burudani
Post a Comment