Header Ads

ASILIMIA 23 ya watanzania hawajui kusoma na kuandika, ikiwa ni takwimu za vijana na watu wazima.

ASILIMIA 23 ya watanzania hawajui kusoma na kuandika, ikiwa ni takwimu za vijana na watu wazima.

Hayo yamebainishwa Jijini Dar es salaam na Mkurugenzi wa Elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi, Basilina Levira wakati maadhimisho ya miaka 50 ya kisomo Duniani.
Levira amesema sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 ilionesha watu wanaojua kusoma na kuandika ilikua asilimia 78 na sensa ya mwaka 2015 ilionesha asilimia 77 ikiwa na ongezeko la asilimia 1% la watu wasiojua kusoma na kuandika.

No comments