Ben Pol ft Mr Eazi PHONE Official Music Video
Unakaribishwa kuitazama video mpya ya staa wa RnB Tanzania Ben Pol ambae round hii yuko na Mnigeria Mr Eaz kwenye single inaitwa ‘Phone‘ ambayo audio yake tuliipokea January 2017.
Leo ni zamu ya video na ukishaitazama usiache kuandika comment yako mtu wa nguvu ili Ben akipita ajue watu wake wanasemaje.
Post a Comment