Baadhi ya wafanyabiashara wadogowadogo wamachinga walioko maeneo ya ya makoroboi mkoani mwanza leo wameleta mzozo
Baadhi ya wafanyabiashara wadogowadogo wamachinga walioko maeneo ya ya makoroboi mkoani mwanza leo wameleta mzozo mkubwa baada ya kupanga bidhaa zao mbele ya maduka ya wafanyabiashara
Hayo
yametokea leo mkoani mwanza baada ya
mgambo kuwafukuza wamachinga ambao hawatakiwi
wanaofanya biashara zao pembezoni
mwa barabara na kuwaamuru waende maeneo
ambayo ni makoroboi, Tanganyika basi na sahara.
Wakizungumza
na wakati wa ufukuzwaji wa wafanyabiashara hao, baadhi ya wafanyabiashara wa maduka wamesema
wamevamiwa maeneo yao hivyo kuziba njia
na wateja huku awali gari la matangazo lilipita
kuwapa taarifa wamachinga watoke kwenye maeneo ambayo hayatakiwi
wafanyabiashara
wa maduka…
Nao wamanchinga
hawakuwa nyuma wamesema hawakubainisha maeneo ambayo wanatakiwa kwende richa yakuwa taarifa walipewa kwa njia ya tangazo
Cast……wamanchinga…..14/2/2017…ed……
Aidha
mwenyekiti wa wamanchinga mkoani mwanza said tyembo amesema kuhusu zoezi hilo
la kuondolewa kwa baadhi ya wamanchi
awali walikaaa kikao na uongonzi
wa halimashauri ya jiji 4/1/2017 na kupendekeza barabara mbili zifungwe kwaajiri kuwaweka wamachinga hao lakini taarifa hiyo hazikupitishwa rasmi
Cast …
mwenyekit….14/2/2017
imeandikwa na mwandishi wa KALI ZOTE Na James Timber KUTOKA Mwanza
Post a Comment