Real Madrid, Cristiano Ronaldo atimiza miaka 32
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo jana Februari 5 alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa alipotimiza miaka 32 akiwa na mwanawe na mama yake.
Huku mchezo wa timu yake wa La Liga dhidi ya Celta Vigo ukiahirishwa kutokana na miale mingi ya moto kurushwa na mashabiki Uwanja wa Rio Alto Balaidos.
Post a Comment