Header Ads

Rais Magufuli amemteua Mkuu wa Majeshi na Mnadhimu Mkuu


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, amemteua Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania na pia kumteua Major Jenerali James Mwakibolwa kuwa Mnadhimu mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania.
Hii ni taarifa yake:

No comments