Header Ads

Hii ya huyu mtoto Mchina wa miaka mitano kuendesha Caterpillar nayo imetisha. (video

Photo

Screen Shot 2014-02-08 at 1.26.05 AM
Hii video nimeitazama zaidi ya mara sita labda ni kwa sababu huwa napenda watoto na pale wanapofanya maajabu ndio mapenzi yanazidi kabisa.


Hii video sio mpya kwenye internet ila nimechelewa kuiona… mtoto wa Kichina mwenye umri wa miaka mitano ambae anaendesha ‘Caterpillar’ kama dereva mzoefu kabisa akiwa amejifunza kutoka kwa baba yake ambae ni dereva mzoefu kwenye kampuni ya ujenzi China.
Tazama ujuzi wake hapa chini alafu uniambie…


No comments