DAZ BABA aja kivingine kwenye mziki
Daz baba
Daz baba ametuletea ngoma mpya inayoitwa big up wakati akizungumza na presenter sylass denniss wa faraja fm 91.3 shinyanga leo amesemakuwa ametoa wimbo huu kwajili ya mashabiki zake na watu wote ambao wanao sapoti mziki wake anatalajia kutoa video ya BIG UP mda simrefu aidha amesema kuwa niaya kutoa wimbo huu ni kwajili ya mashabiki zake ili wawe nafraha na wajue kuwa daz baba ameludi lasmi kwenye gem.
Dazi baba ameazisha kundi la TANZANIANO kwajili ya kukuza mziki wakitanzania na kuufikisha mbali kitaifa na hata kimataifa kwajili ya kuitambulisha bendera ya Tanzania kupitia mziki anaoimba.
Aidha daz baba wakati akizungumza na presenter sylas denniss amesemakuwa wiki ijayo anatalajia kwenda afrika kusini kwaajili ya kufanya show ya mziki na kwasasa anajianda kwajili ya nashow inayo mkabili .
sikiliza ngoma mpya ya big up ya daz baba feat montana alifu weka coment yako hapo chini
Post a Comment