Mabibi na mabwana bado tunaendelea kuzipata ladha mpya za muziki wa bongofleva ambapo leo tunao mbele yetu Chege Chigunda na Nandy kwenye hii video mpya ambayo imeongozwa na Director Destro, ukishaitazama hapa chini usiache kusema chochote kwenye comment
Post a Comment