Header Ads

Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaza Ratiba ya Kombe la ASFC Maarufu kama Azam Sports

Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaza Ratiba ya Kombe la ASFC Maarufu kama Azam Sports Federation Cup Raundi ya Sita ambapo Simba itavaana na African Lyon na Azam FC watavaana na Mtibwa Sugar.
Ratiba ya michezo ya mzunguuko huo inaanza Tarehe 24 Februari mwaka huu ambapo Azam FC itachuana na Mtibwa Sugar kunako Dimba la Azam Complex na mechi nyingine ni Kagera Sugar na Stand United na Mighty Elephat dhidi ya Ndanda FC.
Ratiba kamili ya Azam Sports Federation Cup

No comments