mziki wakisasa auishi kwa muda mrefu kutokana na wasanii kuimba nyimbo nyingi zaaina moja
Daz baba
Msani wa
Tanzania daz baba ambae ameiba nyimbo mabalimbali kama nipe tano ..naitaji wife na nyingine nyingi ameeleza sababu zinazo
pelekea miziki ya kizamani kuishi kuliko za kisasa wakati akiojiwa na presenter
sylass denniss wa redio faraja fm

amesema kuwa mziki wakisasa auishi kwa muda mrefu kutokana na wasanii kuimba nyimbo
nyingi zaaina moja pia kukopiana, kumekuwa hakuna tofauti kati ya msanii na
msanii hii inapelekea mshabiki kuchoka kusikiliza mziki wa aina moja , mziki wa
ukweri unakuwa haupo kumekuwa na mziki kwa jili ya biashara hii inapelekea
msanii kutofanya mziki kwa umakini .

Wasanii wa
zamani walifanya mziki kama kipaji ,,,, pia ametoa ushauri kwa wasanii amesema
kuwa inatakiwa msanii kubuni mbinu tofauti na wasanii wengine ili kuwfanya
mziki wa kisasa kuendelea kuishi kwa muda mrefu nakuto kuingana sauti au
matamshi,

sikiliza ngoma mpya ya daz baba ft montana song big up pia toa coment yako hapo chini
Post a Comment