Uongozi wa klabu ya Yanga SC, umewasamehe na kuwarejesha kundini wanachama wake watatu,
Uongozi wa klabu ya Yanga SC, umewasamehe na kuwarejesha kundini wanachama wake watatu, Ayoub Nyenzi, Hashim Abdallah na Salum Mkemi ambao walisimamishwa katika Mkutano wa Agosti 6, mwaka jana.
Hii ndio taarifa ya katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa kwa vyombo vya habari
Post a Comment