Mbwa mrembo kuliko wote duniani
Mbwa mrembo kuliko wote duniani..!!
Sydney nimeipata hii ya Mbwa anayetajwa kuwa ndiye Mrembo zaidi kuliko Mbwa wote duniani. Nimeamua kushea na wewe mtu wangu picha 5 za Mbwa aitwaye Tea mwenye miaka mitano
Inaelezwa kuwa urembo wa Mbwa huyu unachangiwa zaidi na style yake ya manyoya marefu tofauti na Mbwa wengine ambao kawaida huwa na manyoya mafupi au hata kama ni marefu huwa hayazidi Sentimita 30, lakini huyu Mbwa Mrembo zaidi duniani amekua na utofauti na kujizolea umaarufu kwenye social media kama Instagram na Facebook.
CHANZO MILADI
Post a Comment