Header Ads

alivyo andika Diamond Platnumz katika ukurasa wake INSTAGRAM: Ujumbe wa MTV MAMA 2016

Najua watu wangu wa nguvu wanahamu ya kuona tuzo za MTV Mama 2016 zinazoandaliwa na kituo cha TV cha MTV Base Africa, lakini pia inawezekana kuna baadhi ya watu ambao wamebanwa na kazi na hawatapata nafasi ya kwenda Johannesburg kushuhudia tuzo hizo.

Diamond Platnumz ni moja kati ya wasanii watakaopata nafasi ya kuperform katika tuzo hizo, kama ulikuwa una mpango wa kukosa tuzo hizo hata kwa kuangalia kwenye TV, Diamond ametumia ukurasa wake wa Instagram kukujulisha kwa nini uhitaji kukosa tuzo hizo “Tafadhali sana ndugu zangu naomba kesho msikose kutazama tunzo za MTVMAMA…. kijana wenu nimepanga kuwadhihilishia Ulimwengu Kuwa Africa Mashariki kuna zaidi ya Wasanii”.

No comments