Header Ads

Meneja wa klabu ya West Brom Tony Pulis ameongeza mkataba wake katika klabu hiyo kwa mwezi mmoja, hatua itakayomuweka The Hawthorns hadi 2018.

Tony PulisImage copyrightREUTERS
Image captionPulis amewahi kuwa mkufunzi wa Stoke na Crystal Palace
Meneja wa klabu ya West Brom Tony Pulis ameongeza mkataba wake katika klabu hiyo kwa mwezi mmoja, hatua itakayomuweka The Hawthorns hadi 2018.
Mkufunzi huyo wa miaka 58 kutoka Wales alijiunga na klabu hiyo Januari 2015.
Aliwasaidia kumaliza nambari 13 na 14 Ligi ya Premia.
Klabu hiyo iliuziwa kundi la wawekezaji kutoka China, linaloongozwa na mjasiriamali Guochuan Lai, mwezi Septemba.
Guochuan LaiImage copyrightGETTY IMAGES
Image captionGuochuan Lai alihudhuria mechi ambayo West Brom walilazwa 2-1 na Everton uwanjani The Hawthorns Agosti
West Brom kwa sasa wamo nambari 13 Ligi ya Premia wakiwa na alama 10 kutoka kwa mechi tisa.

No comments