Olivie Kiarie wa Kenya ameibuka mshindi wa shindano la Maisha Plus. Fainali za shindano hilo zilifanyika mwishoni mwa wiki. ambapo mkenya huyo amezitwa milioni 30

Ushindi huo umempa Olive kitita cha shilingi milioni 30 za Kitanzania.
Shindano la Maisha Plus lilishirikisha nchi za Afrika Mashariki.
Post a Comment