Header Ads

Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na fani yake ya uchekeshaji lakini pia utundu wake wa kuigiza

Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na fani yake ya uchekeshaji lakini pia utundu wake wa kuigiza

Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na fani yake ya uchekeshaji lakini pia utundu wake wa kuigiza na kuzirudia nyimbo za Diamond Platnumz kwenye video kama vile ‘nasema nawe’, Aje ya Alikiba
Time hii kairudia ya Salome ya Diamond Platnumz ft Rayvanny na ndio hii hapa chini, ukishaitazama usiache kutupia comment yako ni lazima apite kusoma Watanzania wanasemaje

No comments