Header Ads

Atimae finali za magige cup imefikia ukingoni ambapo LUMAMBO FC ziliichalaza SOLOKOTO FC na kuibuka washindi kwa 1.0

 Atimae finali za  magige cup  imefikia  ukingoni ambapo LUMAMBO FC ziliichalaza SOLOKOTO FC na kuibuka washindi kwa 1.0 



KOMBE MAGIGE CUP

mchuano huo  makali ulifanyika katika viwanja vya old shinyanga majira ya saa kumi jioni ambao tem zote mbili zilikuwa ziki subiliana kwa ham na kila mmoja akijitapa kwa mwezake mimi ndo mshindi



tem yasorokoto wa kisalimiana na lumambo

dakika 45 za mwazo temzote mbili mpaka mda wa mapumziko hakuna tim ambayo ilichungulia lango la mwezake ,ambapo  kipindi cha pili TEO DOLI mnamo dakika ya 81 aliweza kuipatia tim yake ya LUMAMBO FC  goli kwa kupitia mkwaju wa faulo



NAIBU MEYA AKISALIMIANA

 mpaka muhamuzi ana maliza mpambano huo lumambo fc ilikuwa kinala naatimae kukabi dhiwa ngombe na naibu meya wa mkoa wa shinyanga bi ANGENEC MACHIBIA


DIWAN MAGIGE, NAIBU MEYA MACHIBIYA,MWENYE KITI DOTO OLD




ambapo aliwapatia lumambo fc kombe na DOTI  jezi na mshindi wa pili alipatiwa mipila ya minguu  miwili na mchezaji bora alipatiwa 10000  kwa vyote kwapaja zina garim kiasi cha laki saba

No comments