Header Ads

wakulima wa shauliwa kufata njia za kisasa za kilimo

wakulima mkoani shinyanga wamekumbushwa kuandaa mashamba yao mapema hukuwakisubiria mvua kuanzaxkunyesha kwa jili ya kuanza kupanda mazao yao



Image result for picha ya muhogo




afisa kilimo ofisi ya mkuu wa mkoa wa shinyanga bwana WILISONI MSONGO amewashauri wakulima kuandaa mashamba mapema ili kusubiria mvua kunyesha na kupanda mazao yanayo endana na hali ya hewa




Image result for picha ya muhogo





atahivyo amewashauri wakulima kulima   mazao ambayo yanastahimili ukame kama mihogo/mtama na uwele kutokana utabiri wa hali ya hewa kuonyesha kuwa mwaka huu hakutakuwa na mvua kubwa na zitachelewa kuanza kunyesha

Image result for picha ya muhogo


bwana WILISONI amewaomba wananchi kuhakikisha wanawatumia wataalamu wa kilimo walipo katika maeneo yao ili wawapatie ushauri kabla ya kuanza kulima mashamba yao

No comments