Mtandao mmoja wa habari nchini Burkina Faso umechapisha maelezo ya jinsi serikali, inavyodai kutibua jaribio la mapinduzi nchini.
Mtandao mmoja wa
habari nchini Burkina Faso umechapisha maelezo ya jinsi serikali,
inavyodai kutibua jaribio la mapinduzi nchini.
Walinzi hao 30 walikuwa wakichochea mashambulizi nchini humo, katika operesheni iliyopangwa kufanyika Oktoba 8, unamkuu waziri huyo alivyosema katika mkutano na waandishi habari.
Ameongeza kuwa na makao makuu ya jeshi katika mji mkuu Ouagadougou na kituo wanakozuliwa viongozi wa mapinduzi ya mwaka jana.
Walilenga kuetekelza mauaji pia katika kambi za jeshi na kuzusha uasi kwa kutumia mtandao wa kijamii, ameongeza Bwana Compaore.
CHANZO BBC
Post a Comment