Header Ads

Ray C na Damian Soul waingia studio kurekodi


Ukimya wa muda mrefu wa Rehema ‘Ray C’ Chalamila’ uko mbioni kuzimwa kwa kishindo. Ni kwasababu mwanamuziki huyo mkongwe, ameingia studio za Wanene Entertaiment jijini Dar kurekodi kazi mpya.

14488359_1784715018441037_6461158069194719232_n
Muimbaji huyo ambaye kwa muda mrefu amekuwa akipambana na uraibu wa madawa ya kulevya, amepata mshirika mjuzi wa kumuongoza katika mrejeo wa nguvu – Damian Soul.

14676793_836246709811226_7756075917071351808_nGod is good all the time…With my beautiful sister
@rayc1982 in the kitchen cooking together with @salthak_tale ..something amazing is coming out,” ameandika Damian kwenye picha aliyoiweka Instagram.14733755_1605512203078062_9195558464301039616_n
14716509_1201123459980274_1109406244583505920_n
“Happy moment sambamba na my lovely soul sister @rayc1982 in our kitchen @wanenestudios @sarthak_tale …It’s all about love & sharing,” ameongeza kwenye picha nyingine.

14716509_1201123459980274_1109406244583505920_n




Naye Rehema amepost kipande kifupi cha video akiwa na wawili hao na kuandika, “Cooking some delicious food in the studio.”
14676793_836246709811226_7756075917071351808_n
Picha hizo zinaonesha utofauti alionao sasa Ray C baada ya kupungua kwa kiasi kikubwa huku akiweka matumaini ya kukirejesaha kiuno chake bila mfupa.
Wiki moja iliyopita, alishare pia picha akiwa kwenye studio hizo akirekodi.
14561943_315490492163134_3717470060713869312_n
14488359_1784715018441037_6461158069194719232_n
14561808_310719619285112_1240706800731291648_n


No comments