SHULE YA MSINGI KWEMA KUTOKA MKOANI SHINYANGA YAONGOZA MTIHANI WA DARASA LA SABA MWAKA HUU 2016
SHULE YA MSINGI KWEMA KUTOKA MKOANI SHINYANGA YAONGOZA MTIHANI WA DARASA LA SABA MWAKA HUU 2016
COPY MTANDAONI
Baraza la mitihani la Baraza lamtihanitaifanchini NECTA
limetangazamatokeoyakuhitimuelimuyamsingiuliofanyikamwezi September
mwakahuuambapoufauluumekuakwakufikiaasilimia 70.36%
nakuagizakufuatiliawanafunziwotewaliofauluilikujiridhishanauwezowaokatiwakiwaelimuyasekondari
Akizungumzawakatiakitoamatokeohayokwavyombovyahabarikatibumtendajiwa
NECTA Dr Charles
Msondeamesemalichayaufaulukuongezekakwaasilimia 2.52 ikilinganishwanamwakawajanaBarazahilolimebainidosarizaudanganyifukatikabaadhiyashule
KufuatiaudanganyifuhuoDrMsondeamesematayaribarazalimefikishataarifakwawaajiriwawatuhumiwailihatuazaidizakisheriazichukuliwe
AkitangazamatokeohayoDrMsondeamesemawanafunzilaki 5,55elfu 291wamefaulu
katiyawanafunzilaki 7,89479 waliofanyamtihanihuo
AidhaDrMsondeameitajaShuleyaMsingi KWEMA Iliopo mkoani shinyanga kuongozakitaifahukushuleyamsingi CHOHERO iliyopomkoaniMorogoroikishikanafasiyamwishokatikamatokeohayo
Katikamasomohayosomo la Kiswahili
limeongozakwawanafunzikufauluzaidihukumasomoyaKiingerezanaHisabatiufaulu wake
ukiwahafifu
DrMsondeamesemakuwabarazahilolimebainimatokeoyawanafunzi
24
kuzuiliwakutokananasababumbalimbaliikiwemokuuguahivyowatapatiwanafasiyakurudiamtihaniwamasomoyotekatikamtihaniwakuhitimuelimuyamsingimwaka 2017 hukuwanafunzi 238
matokeoyaoyakifutwakutokananaudanganyifuwakatiwamtihani
Post a Comment