Header Ads

WAULIWA watu 232Kundi la kigaidi la ISIS

Kundi la kigaidi la ISIS limewaua watu 232 jirani na mji wa Iraqi, Mosul na kushikilia makumi kwa maelfu ya watu linalowatumia kama ngao ya binadamu dhidi ya majeshi ya Iraqi na yale ya Umoja wa Mataifa yanaousogelea mji huo.


isis-iraq-war-crimes_si_

isis-iraq-war-crimes_si_
Kundi hilo limefanya mauaji hayo Jumatano hii kwa kuwaadhibu watu waliokiuka maagizo yake.
Msemaji wa shirika la haki za binadamu la umoja wa mataifa aliiambia CNN kuwa ISIS waliua raia 42 na wanajeshi wa zamani wa Iraq 190 waliokataa kujiunga nao.
Tangu October 17, ISIS imeshikilia makumi kwa maelfu ya wanaume, wanawake na watoto kutoka Mosul.

No comments