Header Ads

Meneja wa klabu ya Sunderland David Moyes alifukuzwa kutoka eneo wanamokaa wakufunzi na kulazimishwa kukaa maeneo ya mashabiki wakati wa mechi dhidi ya Southampton Kombe la EFL Jumatano usiku.

MoyesImage copyrightGETTY IMAGES
Image captionMoyes alitaka Sunderland wapewe penalti
Meneja wa klabu ya Sunderland David Moyes alifukuzwa kutoka eneo wanamokaa wakufunzi na kulazimishwa kukaa maeneo ya mashabiki wakati wa mechi dhidi ya Southampton Kombe la EFL Jumatano usiku.
Sunderland walilazwa 1-0 na Saints na kuondolewa kutoka kwenye michuano hiyo.
Sofiane Boufal, aliyenunuliwa £16m, alifunga dakika ya 66 hiyo ikiwa mechi tatu mtawalia Black Cats kushindwa.
Sunderland wameshinda mechi mbili pekee chini ya meneja huyo wa zamani wa Manchester United.
Moyes aliadhibiwa dakika za mwisho mwisho mechi hiyo baada yake kulalamika kwamba klabu yake ilifaa kupewa penalti.
Ombi lake lilikataliwa na mwamuzi wa mechi Chris Kavanagh.

No comments