Header Ads

WITO UMETOLEWA KWA JAMII KUNZINGATIA SUALA LA USAFI WA MAZINGILA WANAPOKWENDA HOSPITALI KWANI KUNA MAGONJWA MAMBALI MBALI

WITO UMETOLEWA KWA JAMII KUNZINGATIA SUALA LA USAFI WA MAZINGILA WANAPOKWENDA HOSPITALI KWANI KUNA MAGONJWA MAMBALI MBALI

Image result for picha ya kufanya usafi




wito umetolewa na afisa muunguzi wa hospitali ya mkoa wa shinyanga bi STELA STEVEN wakati akizungumza  leo ofisini kwake

amesema kuwa katika kuelekea msim wa mvua wananchi wanapaswa kunzingatia suala la usafi kwa kunzigatia suala  la usafi kwa kuzingatia kanuni za afya ambazo wanaelekezwa na wataalamu mabalimbali ili kuepuka magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu

aidha anesema kuwa hivi sasa wataalamu wa afya katika hospitali hiyo wanajipanga kutoa elimu ya usafi wa mazingila ili wananchi wajue namna ya kukabiliana na magonjwa ya mlipoko ambayo mara nyingi yanatokea msim wamvua zinapoanza kunyesha

No comments