Muimbaji huyo aliyekuwa ametajwa kwenye kipengele cha Best Live Act ametoa malalamiko yake kupitia Instagram akidai kuwa waandaji hawakuzingatia kura zilizopigwa.
Si kila msanii aliyekosa tuzo ya MTV MAMA mwaka huu amekubali kushindwa na kuwapongeza walioshinda. Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Navy Kenzo na Yamoto Band wamekubali na wamewapongeza wale waliondoka kifua mbele usiku wa Jumamosi – lakini si Eddy Kenzo wa Uganda.
Muimbaji huyo aliyekuwa ametajwa kwenye kipengele cha Best Live Act ametoa malalamiko yake kupitia Instagram akidai kuwa waandaji hawakuzingatia kura zilizopigwa.
Anadai kuwa pengine kwakuwa yeye ni balozi wa mtandao wa Airtel huku mdhamini mkuu wa MTV MAMA ni MTN, wameamua kumpa Cassper Nyovest ambaye ni balozi wa mtandao huo nchini Afrika Kusini.
Kenzo anaamini kuwa amefanya makubwa kuliko Nyovest kwa kuwa na show nyingi duniani lakini pia alipata kura nyingi zaidi kwenye kipengele hicho.
Haya ni malalamiko yake:
I’m airtel ambassador MTN is the main sponsor 4 mamas and the winner in my category is mtn ambassador south Africa, Hehehe just for just. Remember!! I have performed in over 35 countries 10 of them full stadium what else? they told us to vote and my fans did go on all @mtvbaseafrica platforms click on #Bestliveact and see the winner by your self I’m not being jealous here, but I do complain because they told us to vote and the fans decide. go back and check their posts down thats what they said even in emails. I was the most voted in my category remember wen you click on #Bestliveact you can see the results Stonboy was 2nd flavour 3rd Caspa 4th. on all @mtvbaseafrica platforms even if it was you!!! should have felt the same. may be! I didn’t understand the word vote for your favorite nominee. Abig thanks to my fans guys the love is real may the Almighty bless the work of your han
Post a Comment