Wanaume waongeza kasi ya kuoa
Baadhi ya wanawake katika
halmashauri ya mji wa Nanyamba mkoani Mtwara wamelalamikia kuwapo kwa
ndoa holela ambazo zinatokana na baadhi ya wanaume kuoa baada ya kupata
pesa za mauzo ya zao la korosho.
Wakulima wa korosho mkoani Mtwara
Wakizungumza
na East Africa Radio nje ya ghala la chama cha msingi cha Dinyecha
baada ya kufanyika kwa mnada wa ununuzi wa korosho, wamesema miongoni
mwa athari wanazozipata ni pamoja na kutelekezwa kwa watoto pamoja na
gharama za malezi kuwa ya upande mmoja, kama anavyoeleza Asha Salum.
Post a Comment