Header Ads

Msanii wa HipHop kutoka BOB Micharazo, Nyandu Tozy amefunga ndoa 'ki-silencer' na mpenzi wake aliyedumu naye kwa muda mrefu.

Msanii wa HipHop kutoka BOB Micharazo, Nyandu Tozy amefunga ndoa 'ki-silencer' na mpenzi wake aliyedumu naye kwa muda mrefu.

Rapa huyo ambaye miaka ya nyuma alifahamika kwa jina la Dogo Hamidu, aliingia kwenye muziki akiwa analelewa na Dudu Baya na siku zote Dudu amekuwa akisema anajivunia mafanikio ya msanii huyo, kwani kwake ni kama mtoto wake.

No comments