JESHI LA POLISI MKOANI TABORA LIMEPELEKA KIKOSI CHA ASKARI KATIKA ENEO LA MTO NYAHUWA PALIPO TOKEA MAFUFULIKO
JESHI LA POLISI
MKOANI TABORA LIMEPELEKA KIKOSI CHA
ASKARI KATIKA
ENEO LA MTO NYAHUWA PALIPO
TOKEA MAFUFULIKO KUFUATI MVUA
ZINAZOENDELEA KUNYESHA ILI KUSIMAMIA USALAMA WA ABILIA
NA MAGARI YANAYOVUKA KATIKA ENEO HILO BILA KUCHUKUA TAHADHARI.
KAULI HIYO IMETOLEWA
NA KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA
TABORA WILIBROAD MUTAFUNGWA AMESEMA
ILIKUWEZA KUDHIBITI MADEREVA WANAOENDELEA KUPITISHA MAGARI NA KIKUNDI CHA WATU
WANAOENDELEA KUWAVUSHA ABILIA HALI AMBAYO INAWEZA KULETA MAAFA KWA WANANCHI.
HATA HIVYO KAMANDA MUTAFUNGWA AMEONGEZA KUWA WANAENDELEA KUFUATIA MAENEO YA
MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOATHIRIKA KWA AJILI YA KUWEZA KUKABILIANA NA
UHARIBIFU WA MVUA UNAOENDELEA KUSABABISHWA NA MVUA.
AIDHA ENEO LA NYAHUWA
LIMEKUWA NA SHIDA KATIKA KWA KIPINDI CHA
MASIKA KWA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA
KATIKA MKOA WA TABORA.
SIKILIZA KAMANDA WILIBROAD AKIZUNGUMZA KUHUSU TUKIO LA UWARIFU
Post a Comment