Kesi ya Ubakaji ya Mwalimu Nchemba ya rindima
Kesi ya Ubakaji ya Mwalimu Nchemba ya rindima
mwalimu washule ya msingi st.thomas jiji arusha david nchemba ashitakiwa kwa kumbaka na kumlawiti wa miaka 8
Mwalimu wa Shule ya Msingi ya St. Thomas ya jijini Arusha David Nchemba, (25), ambaye anatuhumiwa na makosa mawili ya kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 8 anayesoma shuleni hapo imeahirishwa baada ya mashahidi waliotakiwa kutoa ushahidi kuwepo katika maandalizi ya mitihani
Hakimu aliyekuwa akisikiliz kesi hiyo Nestory Baro ameahirisha kesi hiyo hadi April 13 mwaka huu ambapo itakuja kwa ajili ya hatua za ushahidi.
Aidha mtuhumiwa huyo inadaiwa alikuwa akiwafuata watoto wakicheza na kuwaita mmoja mmoja kwa zamu wamfuate darasani kisha aliwafunika macho kwa kutumia tai yake na kuwaziba mdomo kwa kutumia mkono wake kisha kuwabaka na kuwalawiti
Post a Comment