Header Ads

faida za shanga kwa mwanamke



Image result for faida za shanga kwa mwanamke






WANAWAKE!!! FAHAMU

FAIDA 5 ZA KUVAA
SHANGA KIUNONI NA
JINSI YA KUZITUMIA
WAKATI WA KUFANYA
MAPENZI.....

Shanga zimeanza kuvaliwa tokea
zamani na kipindi hicho nahisi
zilikuwa zinavaliwa kwa sababu
ya urembo zaidi,au zilikuwa
zinavaliwa kama sehemu ya

mavazi ya mwanamke wa kiafrika
lakini sidhani kama zilikuwa
zinavaliwa kwa ajili ya mambo ya
kupeana Raha na Utamu.

Ili kuepusha Post isiwe Ndefu
sana ukachoka kuisoma, nikaona
itakuwa jambo la busara nikimix
Umuhimu na Jinsi ya kuzitumia
kuliko kuelezea mara mbili,kwa
hiyo zifuatazo ni sababu,umuhimu
na jinsi ya kuzitumia shanga za
kiunoni wakati wa kupeana Raha
na Utamu;

1.UNAWEZA UKAZIVAA KAMA
UREMBO




Kuna baadhi ya wanawake wa
siku hizi wanapenda kuvaa
shanga kama urembo,na kusema
kweli kiuno cha mwanamke
kikivalishwa shanga kinapendeza
na kuongezeka mvuto,sio tu
kwa wanaume hata kwa
wanawake pia.

Image result for faida za shanga kwa mwanamke

Kama unavyoona picha ya hapo
juu huyo dada kiuno chake
kilivyopendeza,hata chako
kitapendeza pia.Kama Unatamani
kujaribu,ondoa uoga,kanunue
kisha na wewe uvae pia.
2.WENGINE WANAZIVAA KWA
AJILI YA KUWAONGEZEA HAMU
NA MZUKA WA KUKATA KIUNO
WAKATI WA KUPEANA RAHA
NA UTAMU

Kwenye Ngoma za Asili au
kwenye Sherehe utakuta baadhi
ya wanawake wamevaa kitu
kinaitwa kibwebwe(it is
something like an african
traditional girdle or bellyband
that women wear around their
waist for traditional dances or
during fighting),wanavaa
kibwebwe kwa ajili ya kufanya
iwe rahisi kwao kukatika na viuno
vionekane kweli vinakatika.
Na kwa upande wa shanga,kuna
Baadhi ya wanawake wanavaa
kwa madhumuni hayo pia.Na pia
wanasema sio tu zinawasaidia
kukata kiuno vizuri lakini pia
zinaongeza mvuto mwanaume
akiangalia kiuno kilichovalishwa
shanga kikikatika.

3.UNAWEZA UKAZIVAA KWA
AJILI YA KUMPA HAMU
MWANAUME YA KUPATA RAHA
NA UTAMU.

Image result for faida za shanga kwa mwanamke


Asilimia kubwa ya wanaume
wakiona kiuno kimevalishwa
shanga,haijalishi kama ni
barabarani au ndani ya
Basi,Lazima mashine zao zipate
shida ya kujizuia kusimama bila
kupenda.(talkin from experience
since am a male too).

Hata sielewi kwanini,kwa sababu
ukimuona mwanamke amezivaa
mkononi wala hutoweza kupata
hisia za ajabu,lakini ukiziona zipo
kiunoni lazima upate hamu kama
wewe ni mwanaume wa ukweli.
Kwa hiyo kama huna mazoea ya
kuzivaa,na ulikuwa unapenda
kufanya au kuongeza kitu kipya
kwenye uwanja wenu wa kupeana
Raha na Utamu,basi nenda
kanunue shanga,kisha uzivae
ukiwa alone kwa ajili ya
kumsuprise mpenzi/mume wako.
Utajua kuwa anazipenda kwa jinsi
atakavyokuwa anapay ATTENTION
kuzishikashika na kuzitomasa
muda wote mkiwa mnapeana
Raha na Utamu.

4.UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA
UNAMAANISHA KITU
KUTEGEMEANA NA RANGI ZAKE
Kuna Baadhi ya Wanawake
wanazivaa shanga kwa kutumia
rangi ambazo zitaleta maana au
ujumbe ambao anataka umfikie
yule aliyemvalia(either

Mume,Mpenzi,Kimada etc).
Mara nyingi huwa inaleta maana
au ujumbe utafika kama
Mwanaume husika atakuwa
anaelewa Maana ya hizo Rangi za
Shanga,Zifuatazo ni Rangi za
Shanga na maana yake;
Nyekundu, Kama ukikuta
Mwanamke amevaa Shanga za
Rangi nyekundu,basi ujue yupo
kwenye siku zake(hedhi/
menstruation cycle).Kwa hiyo
unaweza kumuuliza ili upate
uhakika zaidi usije ukaingiza
mashine yako ukaishia
kujichafua.

Nyeupe, Kama ukikuta
Mwanamke amevaa Shanga za
Rangi Nyeupe,basi ujue kuwa kwa
muda huo,Hana Tatizo lolote
litakalomzuia kukupa wewe Raha
na Utamu,kwa hiyo upo free
kufanya chochote na Mwili wake.
Nyeusi, Kama Ukikuta Mwanamke
amevaa Shanga za Rangi
nyeusi,basi ujue kuwa yupo teyari
kukupa Raha na Utamu lakini
tatizo bado hajanyoa nywele zake
za sehemu za siri,kwa hiyo
unaweza kumnyoa kama kweli
upo romantic tena sana au
ukaiacha siku hiyo ipite ili

akanyoe baadaye au kama hamu
zimekuzidia sana unaweza
ukaendelea kama kawaida.
5.UNAWEZA UKAZIVAA KWA
AJILI YA KUJIONGEZEA RAHA
WEWE MWENYEWE
(MWANAMKE) WAKATI WA
KUPEANA RAHA NA UTAMU
Kiuno cha mwanamke
kimeumbwa na hisia za
kimahaba,na ndio maana
ukikitomasa au ukikipapasa(when
u caress it),lazima mwanamke
apate Raha na Utamu. Ukiwa
unapeana Raha na Utamu na
mwanamke aliyevaa

Shanga,wakati wa kupashana joto
(foreplay),usisahau kuzichezea
shanga zake kiunoni.
Kama style mnayotumia kwa
wakati huo inaweza kuruhusu
mikono yako ifike kiunoni pake
basi peleka mikono yako,chezea
shanga kwa kuzipapasa
(kuzicaress) kutoka juu kwenda
chini au kutoka chini kwenda juu
(au direction yeyote



Image result for faida za shanga kwa mwanamke




utakayopenda),ukifanya hivyo
hizo shanga zake zitakuwa kama
zinamtekenya(zinamtickle),na
atapata Raha na Utamu wa
kipekee sana.(jaribu kisha enjoy
makelele na miguno ya kimahaba
atakayokuwa anazidisha ili
uendelee kufanya mwanzo mpaka
mwisho)

.

SYLAS DENNISS

No comments