Kijana Joseph Koech Alias Mnandi (25) wa Baringo huko Kenya ameuawa kwa kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa akifanya mapenzi na ng'ombe.
Kijana Joseph Koech Alias Mnandi (25) wa Baringo huko Kenya ameuawa kwa kushambuliwa
na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa akifanya mapenzi na ng'ombe.
Habari kutoka katika vyombo vya habari nchini humo zinadai kwamba Kijana huyo alijitetea
kuwa alilazimika kufanya mapenzi na ng'ombe kutokana na ukweli kwamba wasichana wengi wameathirika na virusi vya UKIMWI
Wakati akipokea kipigo Bw. Mnandi aliwasihi watu hao wasimuue, wamuache alipe gharama
za kosa hilo kwa kutoa kipande chake cha ardhi.
Vijana wenye hasira walimshambulia kwa makofi, mawe na vijiti na kumwacha na majeraha
makubwa ambayo yalipelekea kifo chake alipokuwa amefikishwa katika hospitali ya Eldama-
Ravine.
Kiongozi wa eneo la Torongo Edwin Ronoh amesema huyo mtu anafanya kazi kama mfanya
kazi wa kawaida kwa miller mtaa wa eneo la msitu wa Sawich ambapo ameongeza kwamba
familia (wamiliki wa ng'ombe) huyo ilikuwa na wakati mgumu wa kumtafuta ng'ombe wao
aliyepotea katika misitu ya Sawich.
Amedai kuwa mtuhumiwa huyo alifunga pembe za ng'ombe juu ya mti na na miguu ya
nyuma juu ili kuzuia mtafaruku.
CHANZO
EATV NEWS
Post a Comment