Muimbaji wa muziki wa injili nchini Goodluck Gozbert, ameachia video mpya ya wimbo unaoitwa ‘Hauwezi Kushindana’
Muimbaji wa muziki wa injili nchini Goodluck Gozbert, ameachia video mpya ya wimbo unaoitwa ‘Hauwezi Kushindana’. Video hiyo imeongozwa na Destro.
Post a Comment