Header Ads

Kurugezi ya sifa na kuabudu mkoani tabora yatoa onyo kali kwa kwaya za E.A.G.T

   Kurugezi ya sifa na kuabudu   mkoani  tabora              yatoa onyo kali kwa kwaya za E.A.G.T

Image may contain: 1 person, sitting and phone


Kurugezi ya sifa na kuabudu   mkoani  tabora  (KUSKI)  limetoa onyo kali kwa kwaya zote ambazo zilipuuza kuto zulia katika kongamano lililo fanyika juma mosi katika kanisa la E.A.G.T NETION.

Mkurugezi wa jembo la tabora PHILIPO IBRAHIMU akizungumza na redio uhai fm katika kongamano hilo amesema kuwa kwakuwa ni mara ya kwanza hawaja hudhuria anatoa onyo kwa kwaya zote za E.A.G.T  ambazo azija udhulia , pia amesema kuwa baada ya onyo kinacho fata nikuwafungia kabisa kuimba kwenya mkutano wowote na hata kuwafuta kuudum kainisani

Kwa upande wake mchungaji wakanisa la E.A.G.T mkoani ERMANI KAMLENGA amesema kuwa anasikitishwa kuona baadhi ya kwaya zahapa mkoani kukaidi kuudhulia katika kongamano  wakati kongamano hilo ni lamuhim sana kwa kwaya kwani ninawafundisha jinsi ya kumuimbia mungu .

Aidha mkurugezi wa KUSKI PHILIPO IBRAHIMU amewataka kwaya zote za E.A.G.T  mkoa watabora kuto  kaidikuja kwenye kongamano ambalo nitafanyika mwaka huu mwezi wa tisa pia watambue wa namtumikia mungu na si mwanadamu



Image may contain: 1 person, sitting and phone




kwenye zinazo pewa onyo ni
SHALOMU  KWAYA
JERUSALEM  KWAYA
ISEVYA  KWAYA
BETHELI SKANDA  KWAYA
MALOLO  KWAYA
CHEMCHEM KWAYA


No comments