Malkia wa muziki Linah Sanga ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Raha Jipe Mwenyewe
Malkia wa muziki Linah Sanga ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Raha Jipe Mwenyewe’. Ndani ya video hiyo mchekeshaji Idris Sultan amecheza vitendo. Audio imeandaliwa na producer Mr T Touch na video imeandaliwa na director, Khalfani Khalmandro.
Post a Comment