Header Ads

Video: Dj Khaled ft Chris Brown, Nicki Minaj, August Alsina, Jeremih, Future & Rick Ross – Do You Mind

Dj Dj khaled baada ya kushinda tuzo 3 katika BET Hip hop Awards kwa mwaka 2016, ameachia video yake mpya kwa mashabiki zake humo ndani amewashirikisha wasanii Rick Ross, Chris Brown, Nicki Minaj, August Alsina, Future pamoja na Jeremih, wimbo unaitwa “Do You Mind”.


No comments