Header Ads

Watu watano wameuawa na wengine wengi kuachwa bila makao baada ya kimbunga kwa jina Chaba kufika maeneo ya Korea Kusini kikiwa kimeandamana na upepo mkali na mvua.


Wahudumu wa feri waliokuwa wamerushwa majini na kimbunga hicho wakiokolewaImage copyrightAFP
Image captionWahudumu wa feri waliokuwa wamerushwa majini na kimbunga hicho wakiokolewa
Watu watano wameuawa na wengine wengi kuachwa bila makao baada ya kimbunga kwa jina Chaba kufika maeneo ya Korea Kusini kikiwa kimeandamana na upepo mkali na mvua.
Miji ya Busan na Ulsan kusini mwa nchi hiyo ndiyo iliyoathiriwa zaidi.
Kisiwa chenye hoteli za kitalii cha Jeju pia kimeathiriwa sana.
Shughuli za uchukuzi, viwanda, shule na uwanja mkuu wa ndege nchini humo zimekwama.
Picha zimeonesha maji ya mafuriko yakiwaa yamejaa barabarani.
Kimbunga hicho kwa sasa kinaelekea Japan ambapo idara ya utabiri wa hali ya hewa huko imetoa tahadhari na kusitisha safari za ndege.
Changwon 2016.Image copyrightAFP
Image captionUpepo ulifikia kasi ya 200km/h (124mph), na kung'oa miti Changwon
Busan, South Korea. 5 Oktoba 2016.Image copyrightEPA
Image captionBarabara nyingi zimefurika maji
Ulsan, Korea Kusini 5 Oktoba 2016.Image copyrightAP
Image captionWatu wakiokolewa
Jeju, 5 Oktoba 2016.Image copyrightAFP
Image captionMagari yaliyokuwa yameharibiwa na kimbunga kisiwani Jeju
Jeju, 4 Okotba 2016.Image copyrightEPA
Image captionMawimbi yalitangulia upepo mkali ksiiwa cha Jeju
Mwimbi yaonekana yakiwa yameruka juu ya ukuta wa kukinga barabara kisiwa cha JejuImage copyrightEPA
Image captionMwimbi yaonekana yakiwa yameruka juu ya ukuta wa kukinga barabara kisiwa cha Jeju

No comments