jeshi la polisi mkoa wa shinyanga limefanikiwa kuwakamata watu wanane
ACP MULIRO JUMANNE MULIRO
jeshi la polisi mkoa wa shinyanga limefanikiwa kuwakamata watu wanane wakiwemo wanawake wa nne ambao wanasadikiwa kuhusika katika matukio mbalimbali ya ujambazi
ACP MULIRO JUMANNE MULIRO
akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoa wa shinyanga ACP MULIRO JUMANNE MULIRO amesema watu hao wamekamatwa katika operation maalum ya kukabiliana na vitendo vya uhalifu kufuatia kuibuka kwa wimbi la unyang' anyi wa kutumia silaha katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa shinyanga likiweno la mauaji lilitokea katika kijiji cha MWAKITOLYO MANAMO NOVEMBA 19 MWAKA HUU.
MULIRO amesem a watu hao wamekamatwa\ na vitu mbalimbali ambavyo niwalikuwa wakivitumia katika matukio ya uhalifu ambavyo ni BUNDUKI MBILI aina ya SMG, magobore matatu, risasi 17,maganda matatu ya risasi ,unga wa baruti, panga,,shoka,na nguo za kimasai walizokuwa wakivaa wakati wa kufanya uhalifu
watu hao pia wamekutwa wakiwa na pikipiki mbili ambazo wamezipolra kwa watu na kuzitumia katika matukio ya uhalifu PLATE namba mbili zapikipiki ambazo wanazitumia kubadilisha wanapo kwenda kufanya uhalifu pamoja na sim 22 za mkononi pamoja na gari moja
gari walilo pola majambazi
pipiki walizo pola majambazi
kufuatia hali hiyo kamaMULIRO amewataka wananchi kuendelea kushirikiana na jeshi la polisi kwa kutoa tarifa za kiintelejensia ambazo zitasaidia kukamatwa kwa wahusika wa matukio mbalimbali ya uhalifu
waandishi wa habari wakichukua dondo mabali mabali
kituo cha polisi mkoa wa shinyanga
Post a Comment