Diamond Platnumz ampongeza mtayarishaji na muimbaji wa kundi la Navy Kenzo, Nahreel.
Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika:
A big birthday wishes to the Most talented Bway @nahreel … Unapambana sana Mwanangu, Mungu aendelee kukufungulia wewe pamoja na team yako nzima ya the Industry… But all n all Shukran kwa kututambulisha kwa huyu dada…. one of My Favorite Female Rapper and Song at the moment! #OneTime @rosa_ree
Lebo ya The Industry inawasimamia wasanii wawili akiwemo Rosa Ree na Wildad.
CHEKA KIDOGO KUPITIA KALI ZOTE BLOG NAGALIA VIDEO HAPO CHINI
Post a Comment