VIDEO : MAKOMANDO JWTZ WALIVYO ONYESHA UWEZO WAO
LEO December 9 2016 zimefanyika sherehe za maadhimisho ya 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam, ambapo Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alikuwa mgeni Rasmi. Mbele ya Rais Magufuli Makomando wa JWTZ walipata nafasi ya kuonyesha uwezo wao ikiwamo pamoja na namna ya kukabiliana na adui. Bonyeza play hapa chini kutazama.
VIDEO: Rais Magufuli alivyoonyesha ukakamavu baada ya kukagua gwaride, Bonyeza play hapa chini kutazama
Post a Comment