mimba za utotoni za komeshwa mkoani shinyanga
Imeelezwa kuwa uelimishaji Jamii kuhusu madhara ya mimba na
ndoa za utotoni Pamoja na ukatili mwingine umezaa matokeo chanya baada ya wananchi kumepata uelewa,ufahamu na ujasiri wa kutoa
taarifa za matukio
Mratibu wa Shirika la AGAPE lililopo mjini Shinyanga SAMWEL MAGINA amesema ongezeko la
taarifa za matukio ya ukatili,mimba na ndoa za utotoni limetokana na Jamii kupata mwamko na kisha
kukubali kutolea taarifa,baada ya kupata Elimu ya kutosha pia najamii kutoa tarifa kwangazi husika ili kukomesha kitendo cha ukatili
MAGINA ameeleza hatua za mafanikio zilizofikiwa na shirika
hilo kuwaokoa watoto wa kike kutoka kwenye ndoa na mimba za utotoni,kuwapatia
hifadhi na kuwaendeleza kielimu pia kuwapa madhala ya tokanayo na mimbaza za utotoni na namna ya kuepuka vishawishi mbalimbali
Kwa
upande wao watoto wa kike waliookolewa
kwenye matukio ya ndoa za utotoni,ambapo hivi sasa wanahifadhiwa katika
kituo cha AGAPE kilichopo mjini Shinyanga wameomba kupatiwa haki na utetezi
dhidi ya matukio ya ukatili ya mimba za utotoni
wananchi tunajukum la kuwalinda watoto wakike juu la tatizo la mimba za utotoni ambazo zinapelekea mtoto waao kushindwa kufika ndoto zao , kwani wanajami tukishilikia kwa ukamilifu juu la suala hili tuna weza kulitokomeza
Post a Comment