Chupa iliojazwa mafuta yanayoweza kushika moto ilirushwa katika dirisha la makao makuu ya chama cha Republican kaunti ya Orange,chama hicho
Afisi moja ya chama cha Republican
katika jimbo la North Carolina imeharibiwa na moto huku jengo lililo
karibu yake likipakwa rangi ya nembo inayopinga chama cha
Republican,mamlaka imesema.
Mkurugenzi wa chama cha Republican, Dallas Woodhouse alisema kuwa hakuna mtu aliyejeruhiwa,na kwamba tahadhari ya kiusalama imetumwa katika afisi nyengine za chama hicho.
''Wanachama wa Nazi walio katika chama cha Republican ni sharti waondoke mjini''.
Mgombea wa Democrat Hillary Clinton ameandika katika mtandao wake wa Twitter kwamba shambulio hilo ni ''la kutisha na halitakubalika''.
''Wanyama wanaomwakilisha Hillary Clinton huko North Carolina walirusha bomu katika ofisi yetu ya kaunti ya Ornge kwa sababu tunashinda'',alisema katika mtandao wake wa Twitter.
Post a Comment