Header Ads

Nahreel NAJISIKIA KUTOA WIMBO MDA WOWOTE ,,,,,, AIKA BADO KIDOGO

Nahreel NAJISIKIA KUTOA WIMBO MDA WOWOTE ,,,,,, AIKA BADO KIDOGO N



Image result for picha ya nevikezo

Image result for picha ya nevikezo
Add caption

wasani wanao unda kundi la NEVIKEZO baada ya ya  kutoa wimbo ya kamatia ambao umekua niwimbo ambao  unapendwa na watu walika zote na kuchezwa na media mbalimbali  za ndani ya nchi na nje ya inchi

wasani wakundi la nevikezo wakati wakizungumza na presenter sylas denis wa redio faraja fm ambapo sylas alitaka kujua baada ya wasaii hao kutamba na wimbo wa KAMATIA kunamwimbo ambao wamesha record hata wimbo wowote 

NEVIKENZO wamesema kuwa kuna nyimbo tatu ambazo teyali wamesha record na  zime ipo teyali na mda wowote wanaweza kuziachia kuna wimbo ambao wame FT ALLY  KIBA  

wana wataka mashabiki kukaa mkao wa kula mda wowote ngoma zina toka mfululizo 

No comments