Header Ads

msani wa mziki wa hip hop TEMBA ambae kwa sasa anatamba na kibao cha FUNDI akiongea PRESENTER sylas denniss wa 91.3 fm shinyanga wa kipindi cha friday night show temba amefunguka kuhusu kulisichwa mikoba

Image result for pich ya temba nyumba za yamoto band

msani TEMBA amesema kuwa kwa sasa saidi fela bado hajamkabizi  lasimi mikoba ya kuogoza wasanii wa kundi la  wakubwa na wanawe ,pia   uongozi ni dhamana toka kwa mungu  na nikipaji toka kwa mungu ,mimi  nimeanza uongozi tangu  kundi la  WANAUME TIMKEI kwahiyo nina  uzoefu mkubwa na siwezi kuteteleka na kumwangusha BOSS WANGU SAIDI FELA  kwani mpaka sasa kuna wasanii ambao mpaka sasa wapo chini yangu kama chege na kalama 

aidha TEMBA amezidi kueleza kuwa  uongonzi nikitu kikubwa sana nanikipaji toka kwamungu pia uongozi unaitaji busala na hekima ili uweze kuongoza watu na yupo teyali kuongoza KUNDI HILO LA WAKUBWA NA WANAWE pia amesema mtu ukiwa ukipewa uongozi haipaswi kuvuka misingi na utaratibu ulio wekwa .....kwasasa temba nimshauli wa saidi fela ana husika na nidham ya wasanii
hajui atapewa upande upi kama atapewa USEMAJI MKUU AU BOSSI wa WAKUBWA NA WANAWE YEYE YUPO TEYALI KWA LOLOTE

Image result for pich ya temba nyumba za yamoto band

msanii temba amesema hizi ni nyumba halali za wasanii wa yamoto band na zipo NYUMBA  NNE nijasho lao walilo livuna kutokana na sauti zao

No comments