Header Ads

njaa ya ikumba BURUNDI

Kiasi ya watu laki sita wanakabiliwa na upungufu wa chakula nchini Burundi hii imesababishwa  na ukame na mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo mwaka jana na idadi  vifo ikiongezeka  na kufikia laki saba ifikapo mwaka 2017.



 Kwa mujibu wa taarifa ya shirika la mpango wa chakula duniani WFP, waathirika wengi wapo katika majimbo matano ya kaskazini na mashariki mwa taifa hilo ambapo karibu watu elfu 65 wameripotiwa kuvikimbia vijiji vyao. 

Charles Vincent aliye mwakilishi wa WFP kwa Burundi amesema hali hiyo inatisha na kuongeza kwamba hawawezi kuzungumzia kwamba kuna baa la njaa bali ni hali ya kuwa na upungufu mkubwa wa chakula. Tahadhari hiyo inaongeza changamoto kwa taifa hilo la Afrika Mashariki ambalo lina wakazi milioni 11 na ambalo limekabiliwa na mgogoro wa kisiasa na kushuhudia machafuko kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.


endelea kufatilia KALI ZOTE BLOG UPATE KUJUA YA ULIMWENGU usikose ku like ukurasa wetu wa KALI ZOTE BLOG toa comenti yako hapo chini

ajari kutokea shinyanga kamanda wa jeshi lapolisi mkoa wa tabora

No comments