DJ Khaled na mchumba wake, Nicole Tuck wamebahatika kupata mtoto wa kiume Jumapili (Oct. 23) na tukio zima limeonekana kwenye mtandao wa Snapchat.
DJ Khaled na mchumba wake, Nicole Tuck wamebahatika kupata mtoto wa kiume Jumapili (Oct. 23) na tukio zima limeonekana kwenye mtandao wa Snapchat.
Khaled ametimiza ahadi yake aliyoitoa June mwaka huu kuwa ataonesha kwenye Snapchat wakati mkewe anajifungua iwapo madaktari watamruhusu.
Akizungumza kwenye kipindi cha Jimmy Kimmel, DJ huyo alisema, “I’m going to talk to the doctor. If the doctor says everything is gonna run smooth, meaning that we wanna make sure that the queen is right and my son is right, if it’s running smooth where I can just do my thing, I’ma Snapchat the whole thing.”
“Bless up fan luv the dr. said my queens water Broke .. It’s go time ! All praise to the most high fan luv I’ll keep you posted !! I have to be honest I’m so excited and my nerves on another level smh .. I’m focused thoe. I LOVE YOU SO MUCH SON,” aliandika kwenye Instagram kabla ya mchumba wake kujifungua.
Post a Comment