Header Ads

Angalia video mpya ya Deevon hapa

Mtuwangu wangu  wanguvu enderea kuwa na mimi ili nikuongezea maarifa zaidi kupitia ukurasa wetu wa KALI  ZOTE BLOG LIKE pegi  yetu ya facebook SYLUS DENNISS ,ISTAGRAM SYLASS DENNISS NA TWETER SYLAS DENNISS,,,,,,,, tangaza biashara yako hapa kwenye mtandao unawafikia mamilioni ya watu wasiliana nasi kwa namba 0742692079 








Deevon camilo


                                                        

Msanii wa mziki wa rege kutoka nchini TANZANIA DEEVON CAMILO  naetamba na ngoma mbali mbali kama Maisha BORA   yake Deevon & Jofu & Mashahili, MZUKA wa kimasaia Deevon ft Stone The Hoodstar + SirMoe zote zikiwa katika mfumo wa video









DEEVONI



            Devevoni  ameonyesha hisia zake kwa kile anacho kiamini  kuhusu mziki wake wa rege wa kati akizungumza  na kujiamini kwa kile anacho kifanya katika indust ya music wakati alipo bonga na KALI ZOTE BLO





Jut becoz  love it  ni mzikia ambao unanikonga  moyo zaidi kuliko aina nyingine  ya music’ na nikiusikia unanifanya ni jisikie raha kupita maelezo mimi naukupali sana music wa rege

 ukishindwa  kuuza  music ujue umeshindwa kuublandi  music,kitu unacho kifanya lazima ukitangaze ila usipouza ujue umeshindwa kukipa sapoti kile unacho kiamini 

 mziki wa rege ni mziki ambao unapendwa sana duniani mimi naamini mziki wa rege ni bora kuliko mziki wowote hapa duniani na ndio maana nime amua kuuimba coz upo kwenye dam

Kama ulikuwa mbali na devoon mimi kusogezea hii kitu ili uzidi kuongeza marifa zaidi wiki inayo kuja ataachia ngoma ya GANJA chaku fanya wewe enderea kuwa nasisi tukupe unacho taka








No comments