Sketi 'fupi' ya sababisha kutoingia darasani Uganda
Mwanafunzi nchini Uganda ,Joaninne Nanyange ameandika ujumbe mrefu katika mtandao wake wa Facebook akilalamika vile alivyozuiwa kuingia katika mlango wa darasa lake la chuo kikuu siku ya J na wanawake wawili mmoja akiwa amevalia magwanda ya polisi.
Anasema askari huyo alimtaka kuvuta sketi yake chini hadi mwisho.
''Nilicheka kwa sababu ombi lake halikueleweka.Alisisitiza hivyobasi nikamwambia hapo ndipo mwisho na hakuna vile ningeweza kuivuta hadi chini''.
Ni hapo ndipo alipoelezewa kuwa sketi yake ni fupi na kwamba hangeweza kujiunga na wenzake katika darasa la kusomea uwakili.
Hatahivyo kitivo cha uwakili mjini Kampala kimesema kuwa hakijapokea malalamishi rasmi kuhusiana na tuki hilo.
Lakini msemaji wa kituo hicho amesema kuwa kuna maadili ya mavazi na kwamba wanawake wanafaa kuvaa sketi zinazofika magotini.
chanzo bbc
Today, dressed like this, I went to the Law Development Centre to attend classes. Unlike all other days, I saw two women seated right outside the Centre's gate, one dressed in a Khaki Police uniform. It was an unusual sight and I thought there was something or someone epic on campus. I got off the boda boda and walked towards the gate. The uniformed woman flagged me down and being the law abiding citizen that I am, I stopped. She asked me to pull my skirt down to see how far ...
chanzo bbc
Post a Comment