Header Ads

ANGALIAN VIDEO YA TEKNO AKISANI KWENYE LABEL YA SONY

Tekno ameungana na Alikiba, Davido na wengine kama mwanafamilia mpya wa label ya Sony Music.

Image result for PICHA YA TECNO


Hitmaker huyo wa Pana, amesaini dili hilo wiki hii mbele ya promota maarufu wa Nigeria, Paulo O wa kampuni ya Upfront & Personal ambaye alipost video ya utiaji saini huo uliofanyika kwenye ofisi yake

Miaka ya hivi karibuni, Tekno amegeuka kuwa hitmaker maarufu kutoka Afrika, huku nyimbo zake zikiwashika hadi wasanii wakubwa wa Marekani.
Tekno alitumbuiza kwenye tamasha la Fiesta, Novemba 5 jijini Dar es Salaam.

No comments